Author: Jamhuri
Nsokolo: Tangu rais aingie madarakani amekuwa rafiki wa wanahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Imeelezwa kuwa kitendo cha Serikali ya Awamu ya Sita kukaa meza moja na kujadili mchakato wa mabadiliko ya sheria ya habari nchini,kumeonyesha dhamira njema katika kufanikisha maendeleo ya sekta ya habari nchini. Hayo yamesemwa na Rais Muungano…
Majaliwa awataka watumishi Mlele wahamie kwenye nyumba za Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa Halmashauri hiyo. Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wq…
Hiki ndicho kinacholitesa taifa letu
Katika miaka 61 ya Uhuru, kinachoitesa Tanzania ni kukosa dira. Awali, falsafa ya TANU na baadaye Chama Cha Mapinduzi (CCM) chini ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, ilikuwa kuondoa maovu yote yaliyotokana na ukoloni na kuwafanya wananchi kujenga uchumi…
CCM si Shwari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kwa muda mrefu sasa vita ya mamlaka bado inaendelea kuathiri mwenendo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku ikizidi kuchagizwa na vitendo vya fitina, uongo na uzushi. Licha ya kukemewa na hatua mbalimbali za kinidhamu na kimaadili kuchukuliwa…
Mwangamilo awatembelea wahanga wa ajali ya pikipiki hospitali
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na viongozi wa madereva wa pikipiki mkoani humo wamewatembelea wahanga wa ajali za pikipiki na vyombo vingine vya moto katika Hospitali ya…
Ndejembi:Likizo kwa watumishi wa umma nyakati za sikukuu zisiwe kikwazo
Na Veronica Mwafisi,JamhuriMedia Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema likizo za mwaka kwa watumishi wa umma katika kipindi cha sikukuu zisiwe kikwazo cha kutoa huduma kwa wananchi. Akizungumza na Watumishi…