Author: Jamhuri
Gazeti la JAMHURI laibuka kinara tena ubora wa maudhui 2022
Gazeti la JAMHURI linalochapishwa na kusambazwa siku ya Jumanne kila wiki nchini na nchi jirani Afrika Mashariki, limeongoza dhidi ya vyombo vingine vyote vya habari Tanzania Bara na Zanzibar vilivyohusishwa kwenye utafiti wa ubora wa maudhui kwa vyombo vya habari…
Mzimu wa Luis Miquissone ulivyomnasa Percy Tau
Al Ahly ya Misri wanakusudia kuvunja mkataba na mchezaji wa Afrika Kusini, Percy Tau, baada ya mchezaji huyo kupata majeraha katika mechi ya juzi kati ya Al Ahly na Ghazl Al Mahal kwenye mechi ya ligi kuu nchi Misri. Percy…
Watuhumiwa kesi za ubakaji 223 waenda jela miaka 30
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa kushirikana na Ofisi ya Taifa ya Mashitaka limewafikisha mahakamani watuhumiwa 270 kwa makosa ya ubakaji na watuhumiwa wawili kati yao wamefungwa kifungo cha maisha jela…
TARURA Kibaha yapendekeza bilioni 59.3/- kwa ajili ya miradi ya barabara
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha WAKALA wa barabara mijini na Vijijini (TARURA) wilaya ya Kibaha , mkoani Pwani imependekeza jumla ya sh.bilioni 59.3 kwa ajili ya kugharimu miradi 26 ya maendeleo ya barabara katika kipindi cha kwa mwaka 2023/2024. Kaimu meneja TARURA…
Dkt.Gwajima awaasa wanawake kupaza sauti kupinga ukatili
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Mafia Wanawake nchini wameaswa kujiamini kwa kupaza sauti zao ili kukabiliana na wimbi la vitendo vya ukatili vinavyowakabili. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake, na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima alikutana na wananchi wa Kata ya…