Author: Jamhuri
Maajabu;Mchungaji afariki akiwa kwenye maombi,alitarajia kufufuka Desemba 8
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Abdel Raphael (42), mkazi wa Mtaa wa Uwanja Halmashauri ya Mji Geita,Mkoa wa Geita amekutwa amefariki ndani kwake akiwa kwenye mfungo wa siku 30 akitarajia kufufuka Desemba 8,2022. Akizungumzia tukio hilo mmoja wa waumini wake Kanyasi John…
Maafisa ugani watakiwa kujitathmini kwa kuwafikia wafugaji
Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Tabora MAAFISA Ugani wametakiwa kujitathmini na kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata weledi na kushirikiana na wafugaji ili wafugaji hao wafuge kibiashara pamoja na kutokomeza migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima. Mkuu wa Wilaya ya Nzenga Mkoani…
Ndejembi akemea tabia ya watumishi Ilala kujihusisha na wizi
Na. Veronica Mwafisi,JamhuriMedia NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amekemea tabia ya baadhi ya watumishi wa umma nchini kujihusisha na vitendo vya wizi ambavyo vinakwenda kinyume na dhamira ya Rais wa…
NMB yaanzisha ufunguaji akaunti ndani ya dakika mbili
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Zama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB jana kuzindua suluhisho ya kisasa inayomwezesha mteja kufungua akaunti kidijitali na kuanza kuitumia ndani ya dakika mbili tu. Hatua hiyo kubwa inaongeza msukumo mpya…
Adaiwa ‘kumloga’ DC asitumbuliwe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Chamwino Mwenyekiti wa Kijiji cha Mpwayungu, Chamwino mkoani Dodoma, Gabriel Hoya, amekana tuhuma za kwenda mkoani Tanga kutafuta ‘dawa’ kuzuia ‘asitumbuliwe’. Tuhuma hizo zimetolewa baada ya Hoya kutoonekana kwenye mkutano wa hadhara ulioitishwa na Mkuu wa Wilaya ya…