JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watanzania watakiwa kumuenzi Bibi Titi kwa mchango wake katika ukombozi wa taifa

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji Watanzania wametakiwa kuenzi juhudi za muasisi wa Taifa letu Bibi Titi Mohammed ambae alishiriki kumkomboa Mwanamke na kumng’oa mkoloni kwa maslahi ya Taifa na vizazi vijavyo. Akimuelezea hayati Bibi Titi wakati wa Kongamano la kumuenzi muasisi…

Watu watatu waliojifanya maofisa wa serikali na kughushi nyaraka wakamatwa Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Jeshi la Polisi Mkoani Pwani linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kujifanya maofisa wa serikali na kutengeneza nyaraka za kughushi ili kusajili vijana wapate ajira idara ya Maliasili na Utalii. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake…

Balozi Sirro awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe,Simon Sirro amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mhe. Emmerson Mnangagwa, Ikulu Zimbabwe. Julai 20, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Mkuu wa…

Majaliwa: Sijaridhishwa na miradi ya afya Sumbawanga

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Hospitali ya Manispaa ya Sumbawanga na Kituo cha Afya cha Matanga mkoani Rukwa ambapo tayari Serikali imeshatoa zaidi ya shilingi bilioni mbili. Hivyo, Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu…