Author: Jamhuri
Ni Argentina bingwa Kombe la Dunia 2022
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa ubingwa wake wa tatu wa Michuano ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa jumla ya mikwaju ya Penalti 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa kwenye mchezo uliohitimishwa kwa dakika 120’…
Bado mnawataka TAKUKURU kwa makipa?
Nadhani mjadala wa kutaka Nahimana achunguzwe utakuwa umefika mwisho. Timu zetu zina makipa lakini kuna tatizo kubwa la makocha wa magolikipa. Tumeshuhudia makipa wazuri wakisajiliwa katika timu zetu wakiwa bora lakini baada ya muda viwango vyao vinashuka kadri muda unavyokwenda. …
Nape: Mabadiliko sheria huduma ya habari kufanyika 2023
Na Mwandishi Wetu.JamhuriMedia Wadau wa sekta ya habari wamehakikishiwa kuwa mabadiliko ya sheria ya huduma ya Sekta ya habari yanakwenda kufanyika Januari 2033. Hayo yamesemwa leo Desemba 17, 2022 na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye…
Balile: Sheria ikirekebishwa uhuru wa habari utapatikana
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Deidatus Balile, amesema, licha ya kuwepo kwa uhuru wa habari nchini, ameomba uhuru huo ulindwe kisheria. Akizungumza katika Kongamano la Kwanza la Maendeleo ya Sekta ya Habari leo tarehe 17 Desemba…
Rushwa ya ngono bado tatizo vyumba vya habari
Na Mwandishu Wetu Imeshauriwa kuwa katika kupunguza kama si kumaliza kabisa rushwa ya ngono katika vyumba vya habari ni vvyema kukawa na dawati la jinsia. Kauli hiyo imetolewa na baadhi ya wahariri wa vyombo vya habari kwenye mkutano uliofanyika tarehe…
Mama aua wanae wawili kisha ajinyonga
Na Cresensia Kapinga, Songea Amina Maketu (34), mkazi wa eneo la Namanditi Kata ya Lilambo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma amewaua watoto Wake wawili mmoja kwa kumnyonga na mwinginekwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha na yeye…