Author: Jamhuri
Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani,amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi . Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi…
Rais Samia awakumbuka watoto kituo cha Madina Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwa ni pamoja na vitoweo ,mchele , maharage,mafuta ya kupikia ,vinywaji na viungo vingine mbalimbali vya kupikia. Akimwakilisha rais…
Mbaroni kwa kukutwa na kichwa cha tembo kikiwa na meno yote
Na Fredy Mgunda,JamhuriMedia, Iringa JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi kutoka hifadhi ya Taifa Ruaha wanamshikilia Cyprian Kasula miaka 42, mkulima na mkazi wa kijiji cha Kipera kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Tembo kikiwa…
Tanzania yaandika historia ujazaji maji Bwawa la Mwalimu Nyerere
Maelfu ya wananchi wa mikoa ya Pwani, Morogoro na Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kuanza ujazaji wa maji kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), lililopo wilayani Rufiji mkoani Pwani. Zoezi hilo la ujazaji maji linazinduliwa leo na Rais…