Author: Jamhuri
Mali za mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola dos Santos zashikiliwa
Mahakama ya Juu ya Angola imeamuru kuwekewa”kizuizi” kwa mali zenye thamani ya karibu dola bilioni 1 zinazomilikiwa na Isabel dos Santos, binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, shirika la habari la Lusa la Ureno…
Binti akata na kuziondoa nyeti za baba yake
Mwanamke anayedaiwa kuwa na matatizo ya afya ya akili anayefahamika kwa jina Grace Kihumba(30) mkazi wa Wang’ing’ombe mkoani Njombe anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumshambulia baba yake mdogo Tiles Kihumbu (60) akiwa usingizini na kisha kuzikata sehemu…
Yanga wasiwe watoto kwa Fei Toto
Yanga wakiendelea kumsujudia Fei Toto wataingia katika hatari ya kushusha morali ya timu. Siamini kama Fei Toto ndio engine ya Yanga, engine ya Yanga ni Nabi mwenyewe wala sio mchezaji yeyote awaye yote ndio maana kikosi cha Yanga Kila mchezaji…
Waliomzika mtoto akiwa hai wapandishwa kizimbani
Watu watatu akiwemo mama mzazi wa mtoto Zawadi Msagaja (20) na mkazi wa kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike kwa kumzika akiwa hai ili wapate mali. Wengine waliofikishwa katika…
Ajali yaua watano Morogoro
Watu watano wameripotiwa kufariki dunia papo hapo, katika eneo la Mikumi, wilayani Kilosa mkoani Morogoro kwenye ajali iliyohusisha gari ndogo maarufu kama IT iliyokuwa ikitokea bandarini jijini Dar es salaam kuelekea mpakani Tunduma kugongana uso kwa uso na gari kubwa…