JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

Waziri Mku Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia kwenye nchi walizopo. Amesema ni vema balozi hizo zikaanzisha majukwaa ya kiuchumi yatakayowakutanisha wafanyabiashara…

RC Kunenga akagua uwekezaji wa uzalishaji sukari Rufiji

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Rufiji Serikali mkoani Pwani,imewaasa wananchi wa Kata ya Chemchem ,Utete wilayani Rufiji Mkoani Pwani kupeana ushirikiano pamoja na mwekezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji Sukari Lake Agro sugar estates ,ambae anatarajia kutoa ajira zaidi ya 3,000 na…

Watuhumiwa 377 wa dawa za kulevya wahukumiwa, nyumba zataifishwa

Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Kuzuia na Kupambana na dawa za kulevya (Anti Drug Unit) “ADU” kwa kushirikiana na Polisi mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani limefanya operesheni, doria na misako iliyofanyika katika maeneo mbalimbali hapa nchini nakufanikiwa…

Kifo cha Pele, Brazili yaanza siku tatu za maombolezo

Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pele alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pele alicheza huko Brazil, ilisema katika taarifa…

Watuhumiwa 1942 wa wizi wa mifugo wakamatwa nchini

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kuzuia na kupambana na wizi wa mifugo nchini limewakamata watuhumiwa 1942 wa wizi wa mifugo kwa kipindi cha Januari hadi Desemba 2022.Akitoa taarifa hiyo leo Desemba 30,2022 Kamanda…

Mabula apiga marufuku shughuli za kibinadamu maeneo ya hifadhi Lindi

Na Munir Shemweta,JamhuriMedia,Lindi Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt.Angeline Mabula amepiga marufuku ufanyaji shughuli za kibinadamu katika maeneo ya hifadhi ya msitu wa Nyengedi na Pori la Akiba la Selous mkoani Lindi. Dkt.Mabula alipiga marufuku hiyo Desemba 29,…