JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Papa Benedict wa XVI afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 95

Papa Benedict wa XVI amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika makazi yake huko Vatican Roma. Vatican imetangaza kifo hicho kupitia mitandao ya kijamii leo Desemba 31, 2022 na kusema kuwa taarifa na ufafanuzi kamili utatolewa hapo baadaye….

Morrison na Saido wanavyotuachia maswali magumu kuhusu kisinda na wachambuzi

Nimemsikia mtu anailaumu Yanga kwanini walimuacha Saido na kumsajili Kisinda, kwanini hasemi walimuacha Saido na kumsajili Aziz Ki? Kwani Saido amejiunga na Simba akitokea Yanga au Geita Gold? Kwanini hawalaumiwi Geita kwa kumuacha Saido lakini inalaumiwa Yanga? Walitaka Saido akijiunga…

Simba wafunga mwaka kwa kishindo,yaipiga wiki Prison

WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji na Nahodha, John Bocco amefunga mabao…

Singida Stars yaichapa Geita Gold 2-1

Wenyeji, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Mabao ya Singida Big Stars yote yamefungwa na nyota wake wa Kibrazil,…

TCRA yabaini kampuni kutoa huduma za televisheni za satelaiti bila leseni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi ya Serikali iliyoanzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Na.12 ya 2003, na kupewa jukumu la kusimamia Sekta ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta nchini Tanzania.  TCRA imebaini kuwepo kwa makampuni…