JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia amedhamiria kutatua kero za wanasiasa

Doyo Hassan Doyo ambaye ni katibu Mkuu wa Chama cha ‘Alliance For the Democratic Change’ (ADC), amesema kitendo cha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kuitisha mkutano na vyama vya siasa kinapaswa kupongezwa kwa kuwa kinaimarisha afya katika siasa za hapa nchini….

Rais Samia: Sasa rukhsa kufanya mikutano ya hadhara

Hatimaye kilio cha wanasiasa cha muda mrefu kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuruhusu kuanza kwa mikutano ya hadhara ambayo itazingatia sheria za nchi. Akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa leo Januari 3,2023, Rais Samia amesema kuwa amefurahishwa na…

Viongozi wa vyama siasa leo kujadili mwelekeo wa siasa nchini

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wamewasilia katika Ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuitikia mwito wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan. Baadhi ya viongozi waliowasili ni pamoja na…

Usimba wa Manara katika sakata la Fei Toto

Baada ya kusema ameongea na Feisal Salumu na amemuelewa hivyo atabaki Yanga, hii leo Haji Manara amebandika bandiko la sheria zinazoweza kuibana klabu ambayo itamsajili Fei Toto kutokea Yanga bila kufuata utaratibu.  Nimejiuliza maswali kwamba ikiwa walielewana hiyo habari ya…

Ajali yaua watu sita wa familia moja wakitoka kula sikukuu

Watu sita wa familia moja akiwemo baba, anayejulikana kwa jina la Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wanaripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022. Ajali hiyo iliyozua gumzo kubwa…