JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Mstaafu Kikwete awapata kibarua watafiti kuhusiana na eneo la Tendaguru

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tendaguru Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne,Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewataka watafiti wa masuala ya Malikale kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Taasisi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania kushirikiana…

Ummy:Serikali kuwalinda wazalishaji dawa ili kuongeza ukuaji uchumi

Na Englibert Kayombo,JamhuriMedia,Dar Serikali kupitia Wizara ya Afya imesema itaendelea kutoa kipaumbele na kuwalinda wazalishaji wa dawa na vifaa tiba waliopo hapa nchini ili kuongeza uzalishaji pamoja na ukuaji wa uchumi. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo…

Serikali yabainisha vipaumbele vyake vya mwaka 2023

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeanisha vipaumbele vyake vya mwaka 2023 kwa Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaoziwakilisha nchi zao nchini. Vipaombele hivyo vimeainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika…

Serikali yakanusha taarifa ya ndege zinazodaiwa kutua mbugani kusafirisha wanyamapori

Hivi karibuni kumekua na taarifa za uzushi na upotoshaji zinaendelea kutolewa kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wenye nia ovu ili kuzua taharuki kuwa ndege zinazoruka na kutua katika maeneo ya hifadhi zinasafirisha wanyamapori na rasilimali nyingine zinazolindwa…

Rais Samia afungua Skuli ya Mwanakwerekwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ustawi wa jamii kama elimu, maji na afya ili wananchi waweze kunufaika na huduma hizo. Rais Samia ameyasema hayo leo wakati…

Bei za vyakula kuanza kupungua mwezi Machi

Hatimaye Serikali imesema bei ya vyakula itashuka kuanzia Machi ili kuwarahisishia wananchi gharama za maisha. Hayo yamebainisha na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Januari 10, mkoani Dodoma. Bashe amesema kuwa Serikali…