Author: Jamhuri
Polisi Manyara waadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi kwa kufanya usafi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Babati wameungana na wananchi kufanya usafi katika kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Januari 12,2023. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara George Katabazi amesema wameamua kuungana…
SMT NA SMZ kushirikiana katika mageuzi ya sera ya elimu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara ya Elimu Bara na ile ya Zanzibar zinafanya kazi kwa kushirikiana katika suala la mageuzi ya Sera ya Elimu na maboresho ya mitaala ili kuwawezesha vijana wa pande zote…
RC Ruvuma aagiza kukamatwa wazazi ambao watoto wao hawajaripoti shuleni
Na Albano Midelo,JamhuriMedia, Ruvuma Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaagiza wakuu wa Wilaya,wakurugenzi na viongozi ngazi ya kata na vijiji kuwakamata wazazi wote ambao hadi Jumatatu ijayo watakuwa hawajawapeleka watoto wao shule. Ametoa agizo hilo baada ya…
Kifo cha utata, Polisi Pwani yamshikilia mume
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kutokana na utata wa kifo cha anayedaiwa kuwa mke wake Primrose Matsambire (39) raia wa Zimbabwe . Primrose amefariki katika Hospitali ya…
Majaliwa:Miradi 215 yasajiliwa katika kipindi cha miaka miwili Zanzibar
……………………………………………………………………………………………………………………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka miwili ya uongozi wa wa Mheshimiwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi jumla ya miradi 215 imesajiliwa kupitia Mamlaka…