JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi bonde la Usangu uliodumu miaka 15

Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeumaliza mgogoro wa matumizi ya ardhi wilaya Mbarali mkoani Mbeya uliodumu kwa miaka 15 ambao ulihusisha wakazi wa wilaya hiyo katika eneo la Bonde la Usangu dhidi…

Maagizo ya Rais Samia kuimarisha uchumi yanavyotekelezwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Tanzania imejipanga kuchukua hatua katika kuhakikisha uchumi wake unaendelea kukukua pamoja na kusimamia urekebishwaji wa baadhi ya sera. Hayo katika mafunzo maalumu kwa wahariri wa vyombo mbalimbali kuhusiana na mwenendo wa uchumi wa dunia na namna…

CHADEMA: Sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimesema sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari katika kutekeleza majukumu yao hasa katika kipindi hiki ambacho mikutano ya hadhara imeruhusiwa, jambo ambalo litawanyima fursa ya kutekeleza majukumu yao. Hayo yamebainishwa…

‘Kukiwa na demokrasia vyombo vya habari vitakuwa huru’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema, uhuru wa vyombo vya Habari hukuza demokrasia Nchini Ametoa kauli hiyo akizungumza na baadhi ya waandishi leo Januari 16,2023, jijini Dar es Salaam. Amesema…

Majaliwa:Kuna Watanzania wachache wasiokuwa na nia njema na mbolea

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuwa walinzi wa mbolea ya ruzuku iliyotolewa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuhakikisha inatumika kwa malengo yaliyokusudiwa ya kuongeza uzalishaji wa mazao katika msimu wa 2022/2023 litimie. Amesema kuwa kumekuwa na Watanzania…