Author: Jamhuri
Tanzania na Kenya zajadili ushirikiano sekta ya umeme na gesi
Na Teresia Mhagama,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Nishati,January Makamba pamoja na Balozi wa Kenya nchini Tanzania,.Isaac Njenga wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa Tanzania na Kenya katika Sekta ya Umeme na Gesi. Mazungumzo hayo yamefanyika Januari 18, 2023 jijini Dodoma ambapo…
Rais Samia: Sekta ya kilimo kukua kwa asilimia 10 ifikapo 2030
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya kilimo nchini inatarajiwa kukua kwa asilimia 10 ifikapo mwaka 2030 ukilinganisha na ukuaji wa sasa wa takriban asilimia 3.6. Rais Samia amesema Tanzania imetengeneza fursa za kitaifa kwa ajili…
RC Dodoma azindua mradi wa afya ya uzazi kwa vijana
Mkoa wa Dodoma umezindua rasmi mradi unaoshughulikia masuala ya afya ya uzazi kwa vijana na wanawake unaojulikana kama Reproductive Equity Strategy in Tanzania (REST) unaoendeshwa na shirika lisilo la Kiserikali la Deutsche Stiftung Weltbevolkerung (DSW) Tanzania ambao utafanya kazi kwenye…
Rais Samia akizungumza na wawekezaji, wadau wa maendeleo na baadhi ya viongozi wakuu wa Nchi za Afrika nchini Uswizi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi…
Binadamu mkongwe zaidi afariki dunia
Binadamu mzee zaidi aliyekuwa anashikilia rekodi ya Guinness amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 118. Sista André aliyezaliwa Februari 11, 1904 na kupewa jina la Lucile Randon amekutwa amefariki katika makazi yake yaliyoko mjini Taulon Ufaransa, Reuters imeripoti Msemaji…