JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Shambulizi la droni la Ukraine lazua moto Kaluga, Urusi

UKRAINE imekuwa ikikabiliana na uvamizi wa Urusi kwa zaidi ya miaka miwili na nusu. Urusi imekuwa ikiyashambulia maeneo ya Ukraine wakati wa usiku kutumia makombora ya masafa marefu. Mabaki ya droni za Ukraine yaliyokuwa yakianguka yamesababisha moto katika kituo cha…

Samia atoa kibali ajira walimu 4,000

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kibali cha kuajiri walimu wa somo la biashara 4,000 kwa ajili ya kufundisha wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Walimu hao watafuata mtaala mpya unaotumika, unaolenga kuleta mapinduzi ya elimu nchini…

Serikali yatangaza neema sekta ya madini

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanian , Dkt: Samia Suluhu Hassan imeweka wazi juu ya mipango yake ya kuhakikisha sekta ya madini nchini inakuwa miongoni mwa sekta zitakazokuwa na mchango…

Dk Biteko : Hatuna huruma tunabeba vyote

📌 Tunataka Tuoneshe Afrika na Dunia Tanzania ni Nchi ya Demokrasia 📌 Asema CCM Imejipanga Kushinda na Kuleta Maendeleo 📌 Asema CCM Inataka Ushindi wa Heshima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye…

Gachagua: Ruto sasa tunakujua wewe ni mtu wa aina gani

Naibu Rais aliyetimuliwa madarakani nchini Kenya Rigathi Gachagua amedokeza kurejea kwa kishindo kisiasa Januari 2025 baada ya kufanya mashauriano na wakazi wa eneo la Mlima Kenya. Akizungumza wakati wa ibada ya kanisa mjini Murang’a siku ya Jumapili, Gachagua amesema kuwa…