Author: Jamhuri
Lutumo afunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,Kamishna msaidizi Pius Lutumo ,amefunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari wa mkoa na wilaya huku akiwaasa kubadilika kwenye utendaji wa kazi zao kupitia mafunzo waliyopatiwa. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye…
Shaka akabidhi ofisi rasmi kwa Mjema
Picha mbalimbali zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Januari 21, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya…
Prof.Lipumba:Mfumuko wa bei ya vyakula unawatesa wananchi
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amelitaka Baraza Kuu la Uongozi Taifa la chama hicho kujadili na kuweka mapendekezo yenye tija ya namna ya kudhibiti hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini. Profesa Lipumba…
Robertinho katika mtego wa Zlatko Jangwani
Na Mwandishi wetu. Oktoba 4 mwaka 2020 Yanga walitangaza kuachana na kocha wao mserbia, Zlatko Krmpotic, ikiwa ni siku 37 toka aajiriwe kwa wanajangwani hao. Uamuzi huo ulitangazwa na Yanga SC ikiwa ni baada ya kumaliza mechi yao kwa ushindi…
Waziri Mkuu wa Uingereza atozwa faini kwa kutokufunga mkanda
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutokufunga mkanda akiwa ndani ya gari lililokuwa katika mwendo. Waziri Mkuu huyo ametozwa faini mara baada ya kujirekodi video akiwa ndani ya gari bila kufunga mkanda na kuituma katika ukurasa wake…
‘Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi si jukumu la wizara pekee’
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Burian amesema suala la kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga sio jukumu la wizara ya Afya pekee hivyo ni muhimu kila sekta kuweka mikakati ya pamoja. Balozi Burian amebainisha hayo mkoani…