JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ndege ya mizigo yaanguka Lithuania, mmoja afariki

Mtu mmoja amefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya ndege ya mizigo kuanguka karibu na uwanja wa ndege wa Vilnius nchini Lithuania Ndege hiyo, inayoendeshwa kwa DHL na Shirika la Ndege la Uhispania la Swiftair, ilianguka karibu na nyumba…

Hezbollah yarusha makombora ndani ya Israel baada ya shambulizi la Beirut

Jeshi la Israel linasema takribani roketi 250 zimerushwa na Hezbollah kuvuka mpaka kutoka Lebanon, na kuashiria moja ya mashambulizi makali zaidi ya Israel tangu mapigano yalipozidi mwezi Septemba. Watu kadhaa walijeruhiwa na majengo kuharibiwa kaskazini na kati mwa Israel, baadhi…

Nyumba, gari yako ikikutwa na dawa za kulevya itataifishwa

Na Isri Mohamed Kamishina Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Mulevya (DCEA), Aretas Lyimo amesema endapo nyumba yako au gari yako ikikutwa na dawa za kulevya, basi itataifishwa kwa mujibu wa sheria. Kamishna Lyimo ameyasema hayo…

Kapinga atumia fainali mpira wa miguu kuhamasisha ushiriki uchaguzi Serikali za Mitaa

📌 Asema baada ya michezo nguvu zielekezwe Novemba 27, 2024 📌 Awataka kuchagua viongozi makini wenye uchungu na maendeleo 📌 Asema CCM ndiyo chaguo SAHIHI Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe….

Wahouthi waisaidia Urusi kuwapeleka Wayemen kupigana Ukraine

Kutokana na hasara kubwa kutokana na uvamizi wake nchini Ukraine, Urusi imeimarisha idadi ya vikosi vyake kutumia wanajeshi kiasi 10,000 wa Korea Kaskazini. Urusi inawasajili wanaume kutoka Yemen waende kupigana vita nchini Ukraine kupitia msaada wa waasik wa Houthi nchini Yemen. Hayo…

Mgombea wa upinzani Yamandu Orsi ashinda urais Uruguay

Matokeo rasmi yanaonesha Yamandu Orsi, ameshinda asilimia 49.81 ya kura iklinganishwa na Alvaro Delgado ambaye amejikingia asilimia 45.90 ya kura. Rais mhafidhina wa Uruguay Luis Lacalle Pou amempigiaa simu na kumpongeza mgombea wa upinzani Yamandu Orsi kama rais mteule wa…