JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Mwaka 2030 utakuwa ukomo magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele’

Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendeleza juhudi za ugawaji wa dawa na matibabu kwa wagonjwa wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ili ifikapo 2030 magonjwa hayo yaweze kutokomezwa. Hayo yamesemwa leo na Meneja Mpango Wa Magonjwa yaliyokuwa…

REA na wadau kuunganisha nguvu usimamizi miradi ya umeme vijijini

Na Veronica Simba,Lindi Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Wadau wake mbalimbali mkoani Lindi, wamekubaliana kuunganisha nguvu katika kusimamia utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini ili kuhakikisha inakamilika kwa wakati na viwango vinavyotakiwa. Azimio hilo limefikiwa jana katika kikao kazi…

TANESCO Dodoma yaweka wazi mafanikio yake

Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO),Mkoa wa Dodoma Mhandisi Donasiano Shamba ameelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita kupitia Shirika la Umeme mkoa wa Dodoma haswa upande wa Utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini REA awamu ya tatu…

Operesheni yawakamata wazazi 763 Tunduru, 600 wajisalimisha Polisi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tunduru Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imeendesha operesheni maalumu ya nyumba kwa nyumba ya kuwasaka wazazi wasiopeleka watoto shule licha ya kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu. Akizungumzia operesheni hiyo mkuu wa wilaya hiyo Julius Mtatiro, amesema…

Tanzania,India kufungua fursa mpya za biashara

Tanzania na India zimeonesha dhamira ya kufanya kazi kwa karibu katika kutafuta njia bora za kufungua fursa mpya za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi…

Maganya aiasa Jumuiya ya Wazazi kuibua miradi mipya

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Fadhil Maganya ametoa rai kwa wanachama na viongozi wa Jumuiya hiyo kuhamasika kuanza kujenga ofisi za kisasa kwa ngazi zote ili kuimarisha Jumuiya. Aidha amewaasa kuhakikisha wanabuni vyanzo vya kiuchumi, miradi ya…