Author: Jamhuri
Rais azindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amezitaka Taasisi za Haki Jinai kuendesha na kusimamia haki jinai kwa kuzingatia misingi ya sheria, weledi, usawa, uadilifu pamoja na mila na desturi zetu. Rais Samia amesema hayo leo wakati akizundua…
Chongolo adai kukosa imani na kiwanda cha sukari Kilombero
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amepokea malalamiko ya wananchi ambao wanajihusisha na wakulima wa miwa Kilombero mkoani Morogoro ambao wamedai kukosa imani na Kiwanda cha sukari Kilombero kwa jinsi wanavyopima kiwango cha utamu…
Migogoro ya ardhi Mapinga yamchefua RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Bagamoyo Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, ameanza kutekeleza mapendekezo na msimamo wa Serikali kusimamia migogoro ya ardhi iliyokithiri kata ya Mapinga ambapo imeweka rekodi ya kata inayoongoza kwa migogoro hiyo nchini. Ameeleza katika hatua…
CCM yazoa wanachama wapya 70 kutoka upinzani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Rufiji Viongozi watatu wa upinzani kutoka Chama Cha Wananchi (CUF) pamoja na ACT Wazalendo pamoja na wafuasi wao 67 wamekimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Rufiji Mkoani Pwani,huku wakidai Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan ni Suluhu…
Sheria ya kuwabana wenye nyumba yaja
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imesema inakamilisha Muswada wa Sheria utakaoanzisha chombo cha kusimamia sekta ya milki (Real estate Regulatory Authority), kwa ajili ya kusimamia na kulinda maslahi ya wapangaji. Pamoja na shughuli zingine chombo hicho kitamlazimisha mwenye nyumba kutoza kodi…