Author: Jamhuri
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waijadili DRC
Viongozi wakuu wa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki wamefanya juhudi kwa mara nyingine za kujaribu kuuleta amani mashariki mwa Kongo. Viongozi hao waliokutana Jumamosi bado walishindwa kupiga hatua kufuatia kutokuwepo kwa rais wa Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo na…
Israel yafanikiwa kulizuia kombora kutoka Yemen
Mamlaka ya ulinzi wa anga ya Israel imesema imefanikiwa kulizuia kombora ambalo limefyatuliwa kutoka Yemen. Asubuhi ya mapema ya jana ving’ora vya mashambulizi ya anga vilisikika karibu na Tel Aviv na katika maeneo mengine. Tovuti ya habari ya Israel ynet…
Abdul Nondo adaiwa kutekwa katika Kituo cha Mabasi Magufuli
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha ACT Wazalendo, Abdul Nondo amedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akitokea mkoani Kigoma alikokuwa na viongozi wengine wa kitaifa wa chama hicho, walioongoza kampeni kwenye mikoa…
Wamiliki ghorofa Kariakoo wakabiliwa na mashitaka 31
Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wafanyabiashara watatu wanaodaiwa ni wamiliki wa jengo lililoporoka Kariakoo, wakikabiliwa na mashitaka 31 ya kuua bila kukusudia. Washitakiwa hao ni mkazi wa Mbezi Beach na mfanyabiashara, Leondela Mdete (49), mkazi…