JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania, Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini

▪️Balozi wa Canada apongeza mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪️Wachimbaji wadogo kujengewa uwezo wa uchimbaji madini kwa teknolojia ya kisasa ▪️Mafunzo maalum ya uongezaji thamani kuendeshwa kupitia VETA ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano katika utafiti wa kina wa Madini Na…

EWURA yazitaka kampuni za gesi kuongeza mawakala, kudhibiti uchakachuaji wa gesi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za nishati na Maji (EWURA) imezitaka Kampuni za gesi kuongeza idadi ya mawakala wa usambazaji kwenye maeneo mengi ili kuepusha watu kwenda kununua gesi kwa wauzaji wasio rasmi….

Makamu wa Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa viwanja vya michezo va Priz Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali zote mbili chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi zimedhamiria kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Michezo kwa kujenga…

Aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mpina kortini

Na Mwandishi Wetu, Simiyu Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani binti aliyejitambulisha kwa jina la Pendo Paul Elikana (19) akidaiwa kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii. Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari na Kamanda…

Vipaumbele vitano Ofisi ya Msajili wa Hazina 2025/26

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma, usimamizi wa rasilimali za umma na kukuza mapato yasiyo…

China yarejesha ndege za Boeing ilizoagiza Marekani kwa ushuru

China imerudisha ndege ilizoagiza kutoka Marekani ikiwa ni tukio la hivi karibuni la kulipiza kisasi ushuru wa Trump, mkuu wa kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing amesema. Kelly Ortberg alisema ndege mbili tayari zimerudishwa na nyingine itafuata baada ya mvutano…