Ado Shaibu apiga kura ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Tunduru
JamhuriComments Off on Ado Shaibu apiga kura ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Tunduru
Leo Novemb 27 Katibu Mkuu wa Act Wazalendo Ndgu. Ado Shaibu Amepiga kura yake mapema ya kuchangua viongozi wa serikali za mitaa katika Jimbo la Tunduru kaskazini Kata ya mchangani kijiji cha ngalinje kituo cha kupigia kura gharani