Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania yaliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho ya masuala ya kilimo nje ya Ukumbi wa Mikutano Jakaya Kikwete mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Ushirika Tanzania, Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye sherehe za uzinduzi wa Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua mashine ya huduma za kifedha (Automated Teller Machine – ATM) kwa ajili ya Benki ya Ushirika Tanzania iliyopo Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025.