JamhuriComments Off on Waziri Mkuu katika picha bungeni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi (katikati) akizungumza na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (kulia), bungeni jijini Dodoma, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, bungeni jijini Dodoma, Aprili 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)