Rais Samia akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
JamhuriComments Off on Rais Samia akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa Kitabu cha “Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Photographic Journey” uliofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.