Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Tatu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania Bara (2012-2022) Mhe. Philip Japhet Mangula kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.