Rais Dk Samia akimkabidhi mwakilishi wa familia ya Lowassa Nishani ya Kumbukumbu
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akimkabidhi mwakilishi wa familia ya Lowassa Nishani ya Kumbukumbu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mwakilishi wa Familia ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.