Rais Dkt. Samia akimtunuku Nishani Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif
JamhuriComments Off on Rais Dkt. Samia akimtunuku Nishani Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimtunuku Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Pili kwa Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Idd kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 26 Aprili, 2025.