Rais Dk Samia ashuhudia utiaji saini Mikataba ya ushirikiano masuala ya ulinzi Angola
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia ashuhudia utiaji saini Mikataba ya ushirikiano masuala ya ulinzi Angola
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa Mikataba ya ushirikiano katika masuala ya ulinzi pamoja na Hati ya makubaliano kuhusu kukuza Uwekezaji pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025.