Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na Wanachama na Viongozi katika Ukumbi wa Eden Highland, Mbeya mjini leo Machi 17, 2025
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza kaika Mkutano wa Hadhara katika Stendi ya Kabwe Mbeya Mjini 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira,  akinyanyua Mkuki Juu mara baada ya Kusikwa kusa Chief wa  kabila la wasafa alipowasili Ofisi za CCM mKOA WA Mbeya