Rais Dk Samia akiwa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akiwa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi, 2025.