Rais Samia afuturisha watoto yatima na wenye mahitaji maalum Ikulu Dar
JamhuriComments Off on Rais Samia afuturisha watoto yatima na wenye mahitaji maalum Ikulu Dar
Il4l4?SawaTuWatoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na baadhi ya watoto wenye mahitaji maalum kwenye Iftari aliyowaandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.