Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mkwakwani
JamhuriComments Off on Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Mkwakwani
Shamrashamra za wananchi kwenye mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.