Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Mkwakwani kwa ajili ya kuwahutubia wananchi mkoani Tanga tarehe 28 Februari, 2025.