Dk Mpango akishiriki katika maombolezo ya kitaifa ya Dk Sam Nujoma
JamhuriComments Off on Dk Mpango akishiriki katika maombolezo ya kitaifa ya Dk Sam Nujoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia kushiriki Maombolezo ya Kitaifa na Ibada ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma leo tarehe 28 Februari 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Makamu wa Rais na Rais Mteule wa Namibia Mhe. Netumbo Nandi – Ndaitwah kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia leo tarehe 28 Februari 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Rais mstaafu wa Namibia Mhe. Hifekepunye Pohamba kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia leo tarehe 28 Februari 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Bi. Kovambo Nujoma ambaye ni mjane wa aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma wakati wa Maombolezo ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia leo tarehe 28 Februari 2025.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na mwenza wake Mama MboniMpaye Mpango wakishiriki Maombolezo ya Kitaifa na Ibada ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Kwanza na Baba wa Taifa la Namibia hayati Dkt. Sam Nujoma yaliyofanyika katika Uwanja wa Michezo wa Uhuru Jijini Windhoek nchini Namibia leo tarehe 28 Februari 2025.