Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa maji wa Miji 28 kwenye hafla iliyofanyika Handeni Mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.