Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto katika muendelezo wa ziara yake mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Mandhari ya jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli wilayani Lushoto wakati wa hafla ya ufunguzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli katika muendelezo wa ziara yake Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi Lushoto mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.