Balozi Nchimbi achangisha bilioni 1. 7 kufanikisha ujenzi ofisi ya CCM Singida
JamhuriComments Off on Balozi Nchimbi achangisha bilioni 1. 7 kufanikisha ujenzi ofisi ya CCM Singida
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoenda sambamba na harambee ya uchangishaji wa fedha na vitu vingine, kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi.
Jumla ya kiasi cha fedha takribani shilingi bilioni 1.7 zilipatikana. Hafla hiyo iliyowahusisha viongozi, wanachama, wafuasi wa CCM na wananchi wa kada mbalimbali, ilifanyika ukumbi wa Jenerali Venance Mabeyo, jijini Dodoma, tarehe 9 Februari 2025.