Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amekemea vikali vitendo vya kutukanana, kubezana na kudhalilishana vinavyofanywa na baadhi ya wanachama wa Chadema katika kipindi hiki cha uchaguzi.