Matukio mbalimbali wakati wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini, Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.
Muonekano wa Skuli ya Sekondari Misufini iliyopo Bumbwini Zanzibar pamoja na madarasa mara baada
ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 08 Januari, 2025.