Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Udhibiti wa wadudu na Magonjwa wa Zao la Korosho Taasisi ya NALIENDELE Dr.Wilson Nene aliyevalia Tishet Nyeupe wakati waziri wa Kilimo Dr.Tizeba alipofanya Ziara katika Taasis Hiyo.
Kaim Mkurugenzi wa Taasisi yaUtafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara Dkt Omar Mponda akitoa maelezo kwa Waziri wa Kilimo Dkt.Charles Tizeba kuhusiana na Mbegu za Muhogo ambazo zinazalishwa na Taasisi ya Hiyo.
Waziri wa Kilimo Dr.Charles Tizeba akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Naliendele Dkt.Omar Mponda katika shamba la Mfano la zao la Karanga.
Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba akioneshwa Shamba la Mfano la Karanga lililopo Taasisi ya Utafiti ya Kilimo NALIENDELE Iliyopo Mkoani Mtwara.
Jumla ya miche ya Mikorosho Million10 imezalishwa na Taasisi ya utafiti wa Kilimo NALIENDELE Iliyopo mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Bodi ya Korosho Tanzania CBT kwa ajili ya kusambaza katika mikoa yote inayozalisha Zao la korosho
Post Views: 230