Waziri Mkuu amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Jaji Mwanaisha Kwariko
JamhuriComments Off on Waziri Mkuu amwakilisha Rais kwenye mazishi ya Jaji Mwanaisha Kwariko
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Mheshimiwa Mwanaisha Kwariko ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi yaliyofanyika Kondoa, mkoani Dodoma, Desemba 30, 2024 (Picha na Ofisi ya Wa