Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mhandisi Mussa Hamad akitoa maelezo kuhusiana na Jengo katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima.
Rais Mstaafu wa Zanzibar awamu ya saba Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mahkama ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “miaka 61 ya mapinduzi:Amani ,Umoja na Mshikamano kwa maendeleo yetu.Mapinduzi Daima. (PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.21/12/2024)