Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe akiweka shada la Maua kwenye kaburi la Marehemu Anastanzia Mayunga ambaye ni Mama wa Peter Kibatala aliyefariki tarehe 11/1/2018 na kuzikwa kwenye makuburi ya Kakola, Mkoani Morogoro.
Makamu Mkt CHADEMA Bara Prof Abdallah Safari akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Anastanzia Mayunga mama mzazi wa Wakili Peter Kibatala Mkurugenzi wa Sheria, Katiba na Haki za Binadam Makao Makuu ya CHADEMA.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara, John Mnyika (Mb) akiweka shada la maua kwenye kaburi.
Mbowe akiteta jambo na Susan Kiwanga kwenye msiba huo.
Mhe. Susaz Kiwanga (Mb) akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Zanzibar, Salum Mwalimu akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu.
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mhe Salum Mwalimu akimpa pole Wakili Peter Kibatala Mkurugenzi wa Sheria, Katiba na Haki za Binadamu Makao Makuu CHADEMA kwa kufiwa na mama yake mzazi.
Post Views: 305