Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus (kushoto), na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Saidi Mtanda (kulia), wakikagua maandalizi ya maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge yatakayofanyika Oktoba 14 kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

 
Picha: Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)
Please follow and like us:
Pin Share