Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 31, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia ashiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa JNICC jijini Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia ashiriki Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa JNICC jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa wakati walipotembelea mabanda ya Maonesho ya wadau wa Taasisi hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es
Salaam tarehe 31 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara
baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki kilele cha Kumbukizi ya 3 ya Urithi wa Mkapa tarehe 31 Julai, 2024.
Post Views:
235
Previous Post
Serikali yahitimisha kwa mafanikio zoezi la utoaji elimu ya fedha Mtwara
Next Post
TAKUKURU kuchunguza miradi ya bil 34/ Tanga
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Habari mpya
‘Rais Samia anawajali wenye mahitaji maalum’
Jeshi la Kongo ‘ladungua ndege zisizo na rubani’ za Rwanda
Waandishi wa habari watano Gaza wauawa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini