Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 4, 2024
Habari Mpya
Rais Samia akutana na msanii maarufu nchini Korea
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia akutana na msanii maarufu nchini Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu HassanĀ akiwa kwenye mazungumzo na Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil, Jijini Seoul, tarehe 03 Juni, 2024. Mwimbaji huyo Maarufu ameimba nyimbo mbalimbali ikiwemo baadhi za kutangaza vivutio vya Utalii nchini Tanzania.
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu HassanĀ akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil mara baada ya mazungumzo yao Seoul, tarehe 03 Juni, 2024. Mwimbaji huyo Maarufu ameimba nyimbo mbalimbali ikiwemo baadhi za kutangaza vivutio vya Utalii nchini Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa zawadi Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil wakati wa mazungumzo yao Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya DVD zenye nyimbo za vivutio vya Utalii nchini Tanzania kutoka kwa Mwimbaji Maarufu wa Muziki wa Jamhuri ya Korea Cho Yong-pil wakati wa mazungumzo yao Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 03 Juni, 2024.
Post Views:
334
Previous Post
Soma Gazeti la Jamhuri Juni 4 -10, 2024
Next Post
Makamu wa Rais mgeni rasmi kongamano la Dira ya Maendeleo 2050
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Habari mpya
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison