Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 1, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia afanya mazungumzo na watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Seoul Jamhuri ya Korea
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia afanya mazungumzo na watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Seoul Jamhuri ya Korea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania Jijini Seoul Jamhuri ya Korea wakati akiwa kwenye ziara rasmi ya kikazi tarehe 01 Juni, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Zawadi ya CD zenye baadhi ya Filamu zilizochezwa na Watayarishaji maarufu wa Jamhuri ya Korea mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Waandaaji wa Filamu na Waigizaji wa Tanzania mara baada ya kukutana nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Watayarishaji maarufu wa Filamu wa Jamhuri ya Korea na Waandaaji wa Filamu wa Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Jijini Seoul tarehe 01 Juni, 2024. Mhe. Rais Samia yupo Jamhuri ya Korea kwa ya ziara ya kikazi.
Post Views:
460
Previous Post
Wananchi vijijo vya Likwela, Unyoni waipongeza Serikali kuwafikishia huduma ya umeme
Next Post
Rais Samia akimsikiliza Mtafiti wa Kituo cha Kubadilishana Maarifa ya Kidunia na Maendeleo ya Jamhuri ya Korea
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Habari mpya
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe
‘Maslahi ya waandishi yameboreshwa’
Serikali yakusanya bilioni 325.3 tangu DPW waanze kazi bandari ya Dar es Salaam
Tanzania, Saudi Arabia kuimarisha ushirikiano sekta ya nishati
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera