Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 17, 2024
Habari Mpya
Mkutano wa wanahabari Ikulu Dar es Salaam kuhusu nishati safi ya kupikia
Jamhuri
Comments Off
on Mkutano wa wanahabari Ikulu Dar es Salaam kuhusu nishati safi ya kupikia
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika Paris Nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa Kinara na Mwenyekiti Mwenza katika mkutano huo wa Kimataifa.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika Paris Nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa Kinara na Mwenyekiti Mwenza katika mkutano huo wa Kimataifa.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga akizungumza na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia uliofanyika Paris Nchini Ufaransa tarehe 14 Mei, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa Kinara na Mwenyekiti Mwenza katika mkutano huo wa Kimataifa.
Meneja Mkuu wa Taifa Gas Davis Deogratius akizungumza kwenye Mkutano wa Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyopanga kuendeleza uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Mwakilishi wa Total Energy Getrude Mpangile akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyojipanga kuendelea uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Mkuu wa Maendeleo ya Biashara na Ukuaji kutoka M-Gas Resources Ltd. Abdallah Kijangwa akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Kampuni yao ilivyojipanga kuendelea uungaji mkono matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wadau wa Nishati Safi ya Kupikia Mhandisi Finias Magessa akizungumza kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia
Mama Lishe wa Kisasa Eva Francis Liboy akizungumzia Faida anazopata kutokana na matumizi ya Nishati Safi ya kupikia kwenye mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024
Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya Habari wakiwa kwenye Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Nishati Safi ya Kupikia Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Mei, 2024.
Post Views:
427
Previous Post
Serikali iungwe mkono udhibiti magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Next Post
Wadau wa madini kukutana Arusha
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani