Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 26, 2024
Habari Mpya
Rais Samia akiwa kwenye Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2024
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia akiwa kwenye Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki ukiimbwa katika Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Aprili, 2024.
Post Views:
540
Previous Post
TAKUKURU yawahoji 11 kwa kuficha msaada wa chakula Rufiji, Kibiti
Next Post
Tanzania yapasua anga huduma za mawasiliano
Rais Mwinyi awasili uwanja wa ndege wa kimataifa akitokea Zimbambwe
NLD wazindua rasmi kampeni Handeni, Doyo atoa wito kufanya siasa za kistarabu
Huduma za kisheria kusogezwa karibu na wananchi
Bukombe wanataka maendeleo na maendeleo ni CCM – Dk Biteko
Mhandisi Samamba awasisitiza maafisa madini kusimamia usalama wa migodi
Habari mpya

Serikali yasisitiza uchaguzi wa viongozi bora
Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro
Korea Kusini yaridhishwa na utendajikazi wa Jeshi la Polisi Zanzibar
Waziri Mkuu apongeza ukuaji sekta ya madini nchini
Rais Samia apeleka bil.6/- kuboresha sekta ya elimu Kaliua
Rais Ruto atoa hotuba bungeni kuhusu mustakabali wa taifa
Gavu : CCM imejipanga kuwatumikia wananchi, chagueni wagombea wetu
Dimwa awasihi wana Katavi kutekeleza haki zao za msingi kwa kuipa kura CCM
Mchezaji Shawky afariki uwanjani
Man City watenga mabilioni ya kumbakisha Haaland